New

Lody Music – Umenibadilisha

Umenibadilisha By Lody Music

Lody Music – Umenibadilisha

Lody Music – Umenibadilisha Mp3 Download. Highly rated Bongo Fleva recording artist, Lody Music dishes out a brand new song tagged “Umenibadilisha” Mp3 Download.

ALSO CHECKOUT : Mabeste – Kinafki Ft Country Wizzy

Good music need good listeners, stream to enjoy Umenibadilisha by Lody Music and share with us below your thoughts on this great release in the comment box.

Umenibadilisha Lyrics by Lody Music

oiyeee, mmmhmmh
lody music on ds one
maswali mengi ya nini,
si unajua kwako niliteleza,
si unanipangia kwa maana,
mwenzako nashindwa kujieleza
nimekuuzi am sorry babby, si unapenda kingereza, si unanikatia ndo mana, nakosa mda wa kubembeleza, mimi niko salama, niling’ang’ana mapenzi yamenicost inaniuma balaa, kwako sina mana, si umenikana na tena kwa kupost, si ulinikataa,, niache ning’ae, acha unikatae, nikiulizwa najibu siko nae,
tena usishangae uko baadae nitapata mwengine
umenibadilisha wewe×5
sku usishike simu utakutana na message za kina Mobetto,,
mara mojamoja wanajimalizaga utashikwa na presha mamaa, tena nimekuwa mwalimu wa mapenzi yaleyale ya sambalugetto, ulishindwa kungoja ukanipotezaga,
mapenzi yakanitesa sana,
kumbenimepiga mimi mbona ujasema kama kamoja changa unanimalizia,.
ebu piga wewe ukooo (aaaàaya)
nilikoseanini mbona hukusema,
ukaniandama ukajipanikia
unajiliza nini ukooo(aaaaya)
chorus ****
umenibadilisha wewe
lody music

DOWNLOAD MP3

Jamie

Call the classic man on +233542793417

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Back to top button