King Kaka – Bundah Lyrics

King Kaka - Bundah Lyrics
King Kaka – Bundah Lyrics

King Kaka – Bundah Lyrics

Nani ana pesa zangu anilipe ASAP
Leo ni Friday lazima kutesa
Remy kweny ice sitaki kapresha
Si tunavibe eh, two times five

Walenje na makilo
Leo nakuchota
Eastlando kuna shida ya maji
Leo nakuchota

Ati kerea, ati kerea
Ati kerea nyama wekelea
Dancefloor lit eeeh hadi teketea
Suti designer hebu icheki —
Enjoy ngoma message iko kwa email
Meza yangu ni mimi pekee na ma female

Bundah, bundah, bundah
Inafanya long’i inadunda
Bundah, bundah, bundah
Inafanya long’i inadunda

Bundah, bundah, bundah
Inafanya long’i inadunda
Bundah, bundah, bundah
Inafanya long’i inadunda

Haujaskia lugha bado ni currency
Na ninabonga pesa sana currently
Mbogi ni wawesh yaani wajanja
Niko na waresh yaani mabanja

Zimewashika yoh yaani maganja
Haunipendi guess ni personal issue
Na nabonga mbaya
Unahitaji personal tissue

Milan waru ni expe nitoke my people
Tupitie Sanford vile nakuchipo
You now rocking Mr CEO
Tangu nipate si Kaka amechage?
My friend ata pesa yenyewe imechange

Bundah, bundah, bundah
Inafanya long’i inadunda
Bundah, bundah, bundah
Inafanya long’i inadunda

Bundah, bundah, bundah
Inafanya long’i inadunda
Bundah, bundah, bundah
Inafanya long’i inadunda

 

You Can Also Checkout These Posts

Davolee – Bere Na

BREEDER LW – Yes Bana Freestyle (Khaligraph Jones Cover) Lyrics

Baba Levo – High Na Low

Jahmiel – Kiss My Love Goodbye (Prod. By Quantanium Records)

Jamie

Call the classic man on +233542793417

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Back to top button