Home / LYRICS / Lyrics : Alikiba – Mshumaa

Lyrics : Alikiba – Mshumaa

Alikiba - Mshumaa
Alikiba – Mshumaa

Lyrics : Alikiba – Mshumaa

Browse through below the lyrics to talented Tanzania artiste,Alikiba’s new song tagged “Mshumaa”.
Read and follow to sing along.

Alikiba – Mshumaa

Ule ugonjwa uliacha nao
Bado sijapona
Hata mapenzi ulioniacha nayo
Yamebaki jina

Hospitali oooh
Za dunia nzima
Nimezunguka kote
Wamepima majibu hakuna

Hata ngoma sina(Sina ooh)
Pressure sina(Sina eeh)
Ugonjwa sina(Sina)
Jina lako ninalo

Uwepo wako
Ndo ulikuwa wangu uzima
Naona giza
Giza totoro aai

Alioo iyooo…
Nakumiss…

Tena! Tutonana
Tena! Hata Mungu akipanga leo
Tena! Nikufe kesho
Tena! Tutaonana tena

Tena! Ifike kesho uliamba
Tena! Waniweke kwa mchanga
Tena! Nikufe kesho
Tena! Ali oooh

Labda nikukumbushe
Nilipokuvisha pete
Ulisema machache
Hauniachi mpaka nife

Maana ngoma sina(Sina ooh)
Pressure sina(Sina eeh)
Ugonjwa sina(Sina)
Jina lako ninalo

Uwepo wako
Ndo ulikuwa wangu uzima
Mi naona giza
Giza totoro aai

Alioo iyooo…
Nakumiss…iye iye

Tena! Tutonana
Tena! Hata Mungu akipanga leo
Tena! Nikufe kesho
Tena! Tutaonana tena

Tena! Ifike kesho uliamba
Tena! Waniweke kwa mchanga
Tena! Nikufe kesho
Tena! Ali oooh

 

Rema – Lady (Official Lyric Video)

Alkaline – Big Tyma (Prod By Spielberg Productions)

Kofi Mole – Public Service Announcement

About Jamie

Call the classic man on +233542793417

Check Also

Lyrics Carole la Belle - Never Gonna Let Him Go

Lyrics : Carole la Belle – Never Gonna Let Him Go

Lyrics : Carole la Belle – Never Gonna Let Him Go T’ai venu accompagnée tu …

Sailors – JESU NI MWATHANI

Lyrics : Sailors – JESU NI MWATHANI

Lyrics : Sailors – JESU NI MWATHANI Download : Sailors – JESU NI MWATHANI Uuuuh …

Lyrics Wilson - C'est trop

Lyrics : Wilson – C’est trop

Lyrics : Wilson – C’est trop Au début tu me dis que tu ne veux …

Lyric Video Myello Ft Kasolo – Wathi Wa Ngatho (Ngwatanio)

Lyric Video : Myello Ft Kasolo – Wathi Wa Ngatho (Ngwatanio)

Lyric Video : Myello Ft Kasolo – Wathi Wa Ngatho (Ngwatanio) Enjoy below the official …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

%d bloggers like this: